proxy
Mandhari
Kiingereza
[hariri]Nomino
[hariri]- mtu au chombo kinachowakilisha au kutekeleza kwa niaba ya mwingine; mara nyingi bila mamlaka kamili au kwa udhibiti wa nje
Tafsiri
[hariri]- Kiswahili: kibaraka, mwakilishi tegemezi
- Kifaransa: agent, intermédiaire, représentant manipulé