Winfried Schäfer
Mandhari
Winfried “Winnie” Schäfer (alizaliwa tarehe 10 Januari 1950) ni kocha wa mpira wa miguu kutoka Ujerumani na mchezaji wa zamani. Kwa sasa ni mkurugenzi wa ufundi wa timu ya taifa ya Ghana.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Matthias Arnhold (22 Mei 2014). "Winfried Schäfer – Matches and Goals in Bundesliga". Rec.Sport.Soccer Statistics Foundation. Iliwekwa mnamo 6 Juni 2014.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Winfried Schäfer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |