Nenda kwa yaliyomo

Swraj Paul, Baron Paul

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Swraj Paul, Baron Paul (Februari 18, 1931Agosti 21, 2025) alikuwa mfanyabiashara mkuu na mfadhili mwenye asili ya India na uraia wa Uingereza. Mwaka 1996 aliteuliwa kuwa life peer na alikaa katika House of Lords kama baron. Mwaka 2008 aliteuliwa kuwa naibu spika wa Lords, na mwaka 2009 aliteuliwa kuwa mshauri wa Privy Council. Alianzisha Caparo Group of industries nchini Uingereza. Mwaka 2025, aliorodheshwa nambari 81 kwenye Sunday Times Rich List akiwa na utajiri wa pauni bilioni 2. Alifariki akiwa na umri wa miaka 94 huko London.[1][2]

  1. "TheyWorkForYou". www.theyworkforyou.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 10 Septemba 2015. Iliwekwa mnamo 8 Oktoba 2015.
  2. "Caparo — Caparo is a global group wholly owned and managed by the Paul family. Caparo is chaired by Lord Paul of Marylebone". Caparo.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 20 Septemba 2015. Iliwekwa mnamo 21 Septemba 2015.