Nenda kwa yaliyomo

Manuel Pablo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Manuel Pablo García Díaz (amezaliwa 25 Januari, 1976), anayejulikana kama Manuel Pablo, ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu kutoka Hispania ambaye alicheza zaidi kama beki wa kulia na kwa sasa ni kocha wa Deportivo Fabril.

Alitumia sehemu kubwa ya kariya yake akiwa na Deportivo de La Coruña, akicheza mechi 482 rasmi na kushinda 1999–2000 La Liga. Alijulikana kwa stamina yake kubwa, na pia alichezea timu ya taifa ya Hispania mara 13.[1][2]

  1. El Teresa Herrera de Manuel Pablo (Manuel Pablo's Teresa Herrera); El Desmarque, 7 July 2016 (in Spanish)
  2. Manuel Pablo ya es historia de la UD y del Deportivo (Manuel Pablo is already history at UD and Deportivo); Tinta Amarilla, 7 July 2016 (in Spanish)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Manuel Pablo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.