Jerry Seinfeld
Mandhari
Jerome Allen Seinfeld (Alizaliwa Aprili 29, 1954) ni mcheshekeshaji, mwigizaji, mwandishi, mtengenezaji wa filamu, na mtayarishaji wa televisheni nchini Marekani.Aliyebobea katika ucheshi wa uchunguzi wa maisha ya kila siku.Seinfeld alipata umaarufu akicheza toleo lake la kubuniwa katika sitcom ya NBC Seinfeld (1989–1998), ambayo alishiriki kuunda na kuandika pamoja na Larry David. Kufikia 2026, Forbes ilikadiria utajiri wake kuwa dola bilioni 1.1.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "The 100 Greatest TV Shows of All Time". Variety. Desemba 20, 2023. Iliwekwa mnamo Juni 14, 2024.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "The 100 Greatest TV Shows of All Time". Rolling Stone. Septemba 26, 2022. Iliwekwa mnamo Juni 14, 2024.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "The 75 Best TV Comedies of All Time". IndieWire. Februari 25, 2023. Iliwekwa mnamo Juni 14, 2024.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jerry Seinfeld kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |