Nenda kwa yaliyomo

Israel Englander

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Israel Englander (Alizaliwa Septemba 30, 1948) ni mfanyabiashara nchini Marekani na meneja wa hazina (hedge fund).[1] Mwaka 1989, alianzisha Millennium Management, kampuni ya uwekezaji, kwa dola milioni 35.[2] Kufikia Januari 2026, kampuni yake ina zaidi ya dola bilioni 83.4 za mali zinazosimamiwa. Englander alizaliwa na kukulia katika familia ya Kiyahudi huko Brooklyn,Jiji la New York, na alihitimu shahada ya fedha katika chuo kikuu cha New York mwaka 1970.[3]

  1. "Israel Englander". Forbes. Iliwekwa mnamo 2026-04-14.
  2. "Izzy Englander's Growth Strategy for Millennium". Institutional Investor. Iliwekwa mnamo 2026-04-14.
  3. "Israel Englander". Forbes. Iliwekwa mnamo 2026-04-14.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Israel Englander kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.