Nenda kwa yaliyomo

Elliot Anderson (mwanasoka)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Elliot Junior Anderson (alizaliwa 6 Novemba 2002) ni mchezaji wa kulipwa wa mpira wa miguu kutoka Uingereza anayocheza kama kiungo katika klabu ya Nottingham Forest pamoja na timu ya taifa ya England.

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Anderson anatokea Whitley Bay, Tyne and Wear. Alisoma katika shule za Valley Gardens Middle School na Whitley Bay High School.

Babu yake upande wa mama, Geoff Allen, alikuwa akicheza kama mshambuliaji wa pembeni wa kushoto katika klabu ya Newcastle United kuanzia mwaka 1964 hadi 1968.[1]

  1. King, Dan (6 Novemba 2020). ["Anderson) wants to keep following in grandfather's footsteps after signing new contract". Newcastle United F.C. Iliwekwa mnamo 21 Machi 2021. {{cite web}}: Check |url= value (help)CS1 maint: date auto-translated (link)[dead link]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elliot Anderson (mwanasoka) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.