Constancia Mangue
Mandhari

Constancia Mangue Nsue Okomo (amezaliwa 20 Agosti 1952),[1] anayejulikana pia kama Constancia Mangue de Obiang,[1] ni Mke wa Rais wa Guinea ya Ikweta, Teodoro Obiang Nguema Mbasogo na ni mama wa Makamu wa Rais wa Guinea ya Ikweta Teodoro Nguema Obiang Mangue.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- 1 2 PDGE. "Constancia Mangue de Obiang". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 20 Julai 2019. Iliwekwa mnamo 10 Desemba 2017.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Constancia Mangue kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |