Nenda kwa yaliyomo

Christine Churcher

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Christine Churcher (aliyezaliwa 21 Septemba, 1954) ni mwanasiasa nchini Ghana. Alikuwa mbunge wa jimbo la Cape Coast katika Mkoa wa Kati wa Ghana katika bunge la 2, 3, 4 na 5 la Jamhuri ya Ghana.[1] [2][3]

  1. Ghana Parliamentary Register, 2004-2008. Ghana: The Office of Parliament. 2004. uk. 257.
  2. "Board » Ghana National Gas Company Limited (Ghana Gas)". Ghana Gas. Iliwekwa mnamo 2020-08-04.
  3. "Christine Churcher Heads Board". DailyGuide Network (kwa American English). 2017-10-10. Iliwekwa mnamo 2020-08-04.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Christine Churcher kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.