Ana Ríus Armendáriz
Mandhari
Ana Ríus Armendáriz ni mwanasiasa kutoka Puerto Rico ambaye aliwahi kuwa Katibu wa Afya wa Puerto Rico katika Baraza la Mawaziri la Puerto Rico.[1][2]
Elimu
[hariri | hariri chanzo]Ana alisoma katika University of Puerto Rico School of Medicine, ambako alipata shahada katika Anestesiolojia. Baada ya hapo, alifanya mafunzo ya udaktari (internship) katika Kituo cha Matibabu cha VA huko San Juan (VA Medical Center]]), akibobea katika tiba ya ndani (internal medicine).[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ ["Puerto Rico Braces for Its Own Zika Epidemic". CNBC. Iliwekwa mnamo 12) April 2016.
{{cite web}}: Check|url=value (help); Check date values in:|accessdate=(help) - ↑ Robert Herriman (26 Januari 2016). ["Puerto Rico reports more Zika cases". Outbreak) News Today. Iliwekwa mnamo 12 Aprili 2016.
{{cite web}}: Check|url=value (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ ["Dr). Ana Rius-Armendariz". U.S. News & World Report. Iliwekwa mnamo Februari 2, 2019.
{{cite web}}: Check|url=value (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ana Ríus Armendáriz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |